Kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano
kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa.
siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula
aafu tukaagana. mkononi alikuwa na simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu
baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia
kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili
apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani
anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hivyo
nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku
nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na
so kwa ajili deny! na wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu
nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane
taratibu jamani, looh!
SMZ KUILINDA AMANI KWA GHARAMA ZOTE
-
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesisitiza msimamo wake wa
kuendelea kuilinda amani na utulivu wa visiwa hivyo kwa gharama zote, huku
ikiwatahad...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment