Diamond Platnumz ali-tweet kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano … In between, Ommy Dimpoz jumped in… This is too far hilarious … Ha ha ha … Ni kweli haya yanatokea??!! Check them tweets hapa chini :
SMZ KUILINDA AMANI KWA GHARAMA ZOTE
-
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesisitiza msimamo wake wa
kuendelea kuilinda amani na utulivu wa visiwa hivyo kwa gharama zote, huku
ikiwatahad...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment