Wiki kadhaa zimepita sasa tangu kutangazwa kuwa Madam Wema Sepetu kanyang’anywa kila kitu na mtu anaesemekana kuwa alikua mpenzi wake ambae kwa maelezo inasemekana yeye ndiye aliyenunua vitu hivyo,baada ya hapo zikapita story kuwa jamaa kwa sasa anamchukua rafiki wa Wema,sikiliza kupitia Bonyeza play kusikiliza.
MAKALA AWAPONGEZA WAZEE WA KIMASAI KWA KUHAMA
-
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amezindua rasmi msimu wa
sherehe za mila za Kimasai maarufu kama Enkipaata, akiwashukuru wazee wa
mila ...
7 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment