Aliyekuwa mpenzi wa
rapper
Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu
sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la
Nako 2 Nako Soldiers.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Ray C amefunguka kama ifuatavyo:
0 MAONI YAKO:
Post a Comment