Wachezaji na viongozi wa tinu ya Yanga, wamepata ajali maeneo ya Mikese nje ya manispaa ya Morogoro kufuatia Bas walilokuwa wakisafilia kupinduka. Katika ajaki hiyo hakuna majeruhi wala mtu kufariki. Chanzo cha ajali ni mabas yaendayo bara kuziba njia
SERIKALI YATARAJIA ONGEZEKO LA WELEDI KWA MAWAKILI WA SERIKALI
-
Na Bora Mustafa,Arusha.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainabu Athuman amesema Serikali
inatarajia kuona ongezeko la weledi, uwajibikaji pamoja na ufani...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment