Ni miungoni mwa watangazaji wakali na wabunifu kwa Afrika Mashariki. Anafanya kipindi cha maseto cha Citizen Radio na Citizen TV.Mmoja ya watu wanaoinua na kukuza vipaji vya wasanii wa Afrika Mashariki. Kutana nae ndani ya Citizen Radio na Citizen TV.
WIZARA YA UJENZI YAOMBA SH. TRILIONI 2.5 KWA BAJETI YA 2026/2027
-
Na Dotto Kwilasa,DODOMA
Wizara ya Ujenzi imeiomba Bunge kuidhinisha jumla ya Shilingi trilioni 2.5
kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya utekelezaji...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment