KLABU
ya Etoile
du Sahel ya Tunisia imewasilisha barua ya kurasa tatu Shirikisho la
Soka la Kimataifa (Fifa) ikimtaka mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi
awalipe Dola 1.3 milioni za Kimarekani ambazo ni zaidi ya Sh 2 bilioni
za Tanzania kama fidia.
Zaidi ingia:
www.millardayo.com
0 MAONI YAKO:
Post a Comment