Inawezekana ikawa imezoeleka ile mila ya kurithishana wake lakini hii hutokea kwa kaka au mdogo wa Marehemu ingawa kwa sasa mila hiyo haipo baada ya kupingwa na serikali pia sasa hii imetokea kwa jamaa kumrithi mama yake wa kambo baada ya baba yake mzazi kufariki,sababu na chanzo kipo hapa. Sikiliza Clouds Fm kupitia 88.4 Mtwara. Bonyeza play kusikiliza.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment