Kama
una mpango wa kwenda kuangalia movie hasa weekend hii ya sikukuu
unaweza kwenda kumuangalia Lupita Nyong’o akiwa kwenye uhusika mwingine
tofauti ya ule wa 12 Years a slave. Movie aliyohusika inaitwa Non Stop lakini pia bado kuna list ya movie nyingine ambazo unaweza kuchagua na kwenda kuangalia.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment