Ya Kichina hayoooo, unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana, Web hii
imeona ijaribu kutoa somo kwa nyie wakaka mnae mezeaga mate kwa kuona tu
mtu kapita na hizi suruali za kisasa zinazobanaga. Unaweza ukawa
unauziwa mbuzi kwenye gunia.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment