Msanii
Jux wa bongofleva kabla hajaondoka kwenda China safari hii, alisema
atautumia muda wake akiwa huko kushoot video ya wimbo wake mpya
“nitasubiri” ambao wiki kadhaa zilizopita alikiri kwamba wimbo huo
amemuimbia mpenzi wake (Jackie Cliff) anaedaiwa kufungwa gerezani China
kwa ishu za dawa za kulevya.
Hizi ni picha za siku ya kwanza ya shooting hiyo huko China ambako
ndiko alikofanya ile video ya ‘uzuri wako’.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment