Mwanamitindo
mkubwa duniani Naomi Campbell amefurahi kukutana na Lupita Nyong’o
kwenye tuzo za Glaad na kupiga naye picha ilikutunza kumbukumbu yao
pamoja. Sammisago.com imekupa nafasi ya kuona picha hizi.
Ukiwa kijana kwenye karne ya 21 selfie ni kitu cha kawaida kufanya au
sio. Naomi ameandika hivi kuhusu kukutana na Lupita “So
lovely to meet you @lupitanyongo proud !!! #glaadawards @glaad”
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment