Mijadala ya hapa na pale kuhusu utengenezaji wa katiba mpya imehusisha sana majina ya waasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu Nyerere na Mzee Karume na hii imemgusa hata Rais Jakaya Kikwete ambae ameamua kutumia dakika zake mbili kutoa ya moyoni.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment