April 05, 2014

kitaleI
nawezekana ushakutana na vichekesho ambavyo vimesambaa kwenye mitandao mbalimbali hasa Whatsapp ambavyo kuna jamaa anajiita Mkude Simba,ushawahi kujiuliza ni nani yule Mkude Simba,millardayo.com imefanikiwa kumpata na kufanya nae Exclusive Interview.
Kitale sio jina geni kwako kwa mtu unaefatilia filamu za vichekesho huyu ndiye jamaa ambaye anaigiza jina la Mkude Simba,mpaka sasa kitale amesema ameshafanya vichekesho vitano kikiwemo kile alichoigiza yeye ni promota anataka kufanya show na Diamond,sikiliza baadhi ya vichekesho hivyo pamoja na interview yenyewe.

INTERVIEW


BAADHI YA VICHEKESHO VYAKE NI HIVI






0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE