Wana jamvi kuna mdau amenirushia ratiba
ya ukawa mikutano na maandano nchi nzima kuanzia tarehe april 30-mei 4
kama ifuatavyo; dr slaa,mtatiro na prof safari watakua dodoma na
pwani;maalim seif shariff hamad na mabere marando watakua mbeya;kabwe
zitto na chiku abwao kilimanjaro,tindu lissu na lipumba
mwanza,kagera.simiyu;pemba na unguja mbowe,anna komu na habibu
mnyaa;tabora- kigoma;jussa na wenje;dar sugu na lema;tanga mdee na
machemli;shinyanga;mnyika,shib uda na nassari;singida v-nyerere na
opolukwa; taarifa zaidi zitatolewa kadri zitakavyo patikana kupitia njia
zote
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment