Sasa hivi imekua ni kawaida mtu kutumia
pesa nyingi labda kumpeleka mpenzi wake kwenye mahotel makubwa au
kumnunulia vitu vya thamani ili kumuonyesha mapenzi, ila ukweli ni
kwamba unaweza ukafanya hayo yote ukajiingiza kwenye gharama kubwa na
matumizi usiyotarajia bila mafaniko. Mwanamke haitaji vyote hivyo
mwanamke anahitaji muda, tumia muda mwingi kuwa nae, muonyeshe unamjali,
tatizo lake chukua liwe lako. Mpe kidogo ulicho nacho na kitoke moyoni,
Usilazimishe mambo utamboa, fanya ajiamini ukiwa nae, kuwa na misimamo
yako usiyumbe yumbe katika maamuzi, Usiogope kumwambia hisia zako kwake,
kwani wanawake wanapenda mtu anayejiamini. Fanya hayo utaona matokeo
yake..!!
TEKNOLOJIA NA SANAA KUTUMIKA KUENDELEZA URITHI WA UONGOZI WA WANAWAKE
-
Na Mwandishi wetu, Morogoro
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Mussa Kilakala amewaasa watanzania kutumia
sanaa na teknolojia vyema ili kuhamasisha wanawake ...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment