Kwenye
page za mastaa mbalimbali wa Tanzania kuanzia jana usiku kumewekwa hii
picha ya Joh Makini, Nikki wa II na G Nako kutoka WEUSI ambapo watu
wamekua wakitakiwa kuotea ni nini kinakuja.
Weusi ambao wanamiliki headlines za chati mbalimbali kwa single yao
ya ‘gere’ bado hawajasema ni nini kinakuja ila baadhi ya mashabiki
wameanza kuhisi labda ni ujio wa video ya hiyo single
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment