Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza
promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na
Whatsapp Bure, Wema Sepetu anawajoin JB na Joti Ambao nao pia kwa sasa
wanatangaza Promo za Makampuni ya Simu....Hongera Wema ... Team Wema Mpo ??
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment