May 06, 2014
9:09 AM
Machaku
No comments
Msanii nguli wa Hip Hop Tanzania mwenye mashabiki wengi Fid Q amehabarisha kuwa kila mtu amefurahi kwa yeye kushinda Tuzo ya Mwana Hip Hop Bora wa Mwaka , Amesema hiyo inajidhihirisha hata kwenye Social Media kila mtu anasifia na kukubali ishindi wake ..Amasema Amebaniwa Miaka Mingi hiyo tuzo na Hatimae ameipata....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 MAONI YAKO:
Post a Comment