
Ni ujio mpya wa msanii kutoka Tip Top Connection, anaitwa Reymond. Ni tarehe 26 may siku ya jumatatu, mitaa itapokea gumzo jipya kabisa la upo mwenyewe. kaa tayari
Artist-Reymond
Song - Upo mwenyewe
Producer Sheddy Clever.
Ni jumaa tatu ya 26 may 2014, kitaa kitanuka mbaya. kaa tayari
0 MAONI YAKO:
Post a Comment