May 17, 2014

41
Waliohost show ni watangazaji wa MTV BASE Vanessa Mdee na Nomuzi Mabena.
Hatimae party la MTV road to Mama Awards 2014 lilidondoshwa Club Bilicanas Dar es salaam usiku wa May 16 2014 ambapo mstaa kibao walihusika kuanzia muziki, siasa mpaka movies.
Kwenye stage walimiliki Sauti Soul kutoka Kenya, Mi casa kutoka South Africa na Diamond Platnumz kutoka bongoflevani ambae alimpandisha Shetta kama suprise hivi wakamaliza kazi.
Tanzania imekua miongoni mwa nchi tatu ambazo party la  Mama Awards limedondoshwa 2014 ambapo nchi nyingine ni Nigeria na South Africa.
D3
Shaa, Dyna na Vanessa Mdee

1
Watu wa media nao walikuwepo, TBC1 na Times FM

3
Hata bongo movie ndani

2

9
Sauti Soul kwa red carpet

8

12

14

11
16 
D47

D37
Ay kwa mbali akiwa na Wanasiasa/Viongozi maarufu wa Tanzania MP kutoka Kigoma kaskazini Zitto Kabwe na Mayor wa Ilala Jerry Silaa kwenye red carpet.

D39
Petitman


D33
Faraja Kyarwenda na Tirra kutoka 88.5 Clouds FM wakiwa na Dayna Nyange mama Rahma toka Bongo fleva
18
My hommie DJ Zero kwa mbaaali
19
Sauti Soul walipoanza kazi
Fans wa Sauti Sol wakihusika na pichaz







   D48
Dyna akiwa na Team CloudsFM/CloudsTV George, Raymond Mshana, Tirra na Lugha kali
D51
   
D60
                                  
D66  

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE