Mtangazaji wa kipindi cha XXL na Bongo Fleva 88.5 Clouds FM ,Adam
Mchomvu aka Baba la Baba usiku wa kuamkia leo alizindua video yake mpya
inayoitwa 'AU SIO' kwenye ukumbi wa New Maisha Club jijini Dar es
Salaam
Huku akisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo (Weusi) Nikki wa
Pili,Joh Makini,Country Boy,Young Dee,Young
Kiler,Shilole,Shetta,Chegge,Mirror na Dogo Asley kutoka Mkubwa na
Wanae.Washereheshaji wa Uzinduzi huo ni Fareed Kubanda aka Fid Q na
Nickson George wa Clouds TV
Angalia picha mbalimbali za show hiyo
Angalia picha mbalimbali za show hiyo
Source:dj Fetty
0 MAONI YAKO:
Post a Comment