May 21, 2014

 
Bongo movie kama inavyojulikana sasa nchini Tanzania inazidi kushamiri kadri miaka inavyozidi kwenda.
Filamu hizo zinaozigizwa kwa lugha ya Kiswahili hutazamwa na wazungumzaji wa lugha hiyo ndani na nje ya Tanzania.
Lakini suala kubwa la kujiuliza ni iwapo waigizaji wa filamu hizi wanafaidika. , wakizungumza na BBC wasanii maarufu nchini hapa , Riyama Ali na Wastara Juma.
Waigizaji hawa walienda Uingereza kutengeneza filamu inayoitwa 'Ughaibuni.' chini ya udhamini na msaada mkubwa wa mdau mkubwa aliyopo UK Dida Facion
  Kasim Kayira amezungumza na Wastara Juma,akianza kwa kumuuliza changamoto wanazokumbana nazo kama wasanii

BONYEZA LINK HII KUTAZAMA
 http://youtu.be/AFM-c08yKgY

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE