
DIDA FACION
Kama wewe ni mdau wa Bongo fleva huwezi kuwa mgeni na jina ili, ni mwana dada jasiri na aliye mstari wa mbele katika kuhakikisha anakuza sanaa ya bongo hasa kimataifa maalufu kama Dida Facion, kumbe naye aliwahi kufanya ngoma kawashirikisha mangwea na Bigg Boss
0 MAONI YAKO:
Post a Comment