Msanii wa muziki wa bongo freva anayefanya poa sana kwa sasa Baraka Da Prince, ameamua kuwapa zawadi maalum mashabiki wake. Ni jumaatano hii ya Th 02 june. Kaa tayari kwa bonge la zawadi toka kwake.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment