June 23, 2014

On Air

 Kiapo changu kwako ni kuhakikisha hupitwi na kitu chochote kinachonifikia mikononi mwangu au ninachokipata iwe ni usiku au mchana mtu wangu wa nguvu,hapa nimekurekodia magazeti yakisomwa na kuchambuliwa redioni kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast.
Bonyeza play kusikiliza.

KWA HISANI YA MILLARD AYO.COM

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE