MTOTO
Nasra aliyekuwa akiishi kwenye box kwa miaka minne akidaiwa kuteswa na
mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki, huku akikosa uangalizi wa
karibu, chakula, tiba na huduma nyingine muhimu AFARIKI DUNIA katika
Hospitali ya Taifa MUHIMBILI usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba,
tatizo ni Nimonia na homa ilipanda sana.
Breaking : HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2026,
UALIMU 2026
-
Bofya Kuona Matokeo
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa
Kidato cha Sita 2026, yakionyesha ongezeko la ufaulu ...
1 day ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment