
Kitu ambacho kimejificha mpaka sasa hivi ni nini kinaendelea kati ya mwanamuziki toka Morogoro Dayna Nyange na Mshiriki wa Big Brother Afrika 2013 Nando. Bado haijafahamika maana picha zilizonaswa mtandaoni ni za mashaka ambazo zinawaonesha wawili hao kama wapo katika mahusiano vile!! Haijafahamika bado. Dayna hakkuweka wazi juu ya hilo na tulimtafuta nando bila mafanikia kwani simu yake inaita tuu bila kupokelewa.


0 MAONI YAKO:
Post a Comment