
Dizaini Nah Reel alikuwa akimuimbisha Aika na kumuuliza mbona unachelewa chelewa..Baada ya kuoana sasa (ki mashairi) leo hii wametoka na wimbo wao unaozungumzia maisha baada ya ndoa. ambapo wawili wanakuwa wanapeana moyo katika maisha yao na hivyo wimbo huo kuitwa "Aiyola" wasikilize hapo chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment