Imebainika kuwa Mwanadada Agness Masogange ameihama nchi na kwenda
kuishi South Africa Kutokana na Skendo zinazomkabili kubwa ikiwemo ile
ya Madawa ya Kulevya Ambayo alikamatwa South Africa lakini alishinda
kesi na kuachiwa..Rafiki yake wa karibu
aitwaje Jeniffer alihabarisha mtandao huu na kusema Agness Ameenda huko
ili kutulia kwasababu hapa Bongo kila mahali alikuwa ananyooshewa Vidole
kitu ambacho alikuwa akipendi kabisa...Si kweli amepata Maisha mazuri
kama alivyosema.
MCHENGERWA ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KALOLENI 'SITARAJII WAGONJWA KUNUNUA
DAWA NJE YA KITUO'
-
Na Bora Mustafa,Arusha.
Waziri wa Afya, Mhe. Mchengerwa, amefanya ziara ya kikazi katika Kituo cha
Afya Kaloleni, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali ku...
41 minutes ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment