Mapacha wakiwa na watangazaji Adam Mchomvu na B12 muda mfupi tu baada ya kumaliza interview yao ya kwanza on XXL toka waiombe msamaha Clouds FM.
Katika Exclusive interview waliyofanya kupitia kipindi cha XXL ya Clouds Fm,Mapacha wamesema kwa sasa wameamua kuweka tofauti pembeni zilizokuwepo mwanzo kwani bifu waliyokuwa wameitengeneza wamegundua haikua na faida yoyote.
Wimbo unaitwa ‘time for the money’ umetengenezwa kwenye studio za Soround Sound zilizopo THT na producer wa wimbo huu ni Tudd Thomas ambapo ndani kashirikishwa mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ Bonyeza play kusikiliza.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment