June 15, 2014

  Photo: Mh. Raisi Dkt. J.M.Kikwete anaongea LIVE kutoka Jamhuri Stadium katika uzinduzi wa video ya miaka 50 ya Tanzania #TanzaniaNaiaminia Angalia Clouds Tv saa hii
Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania, wasanii wa tasnia ya bongo fleva na filamu jana mjini Dododma wamezidua rasmi kampeni ya uzalendo kwa taifa lao kitu ambacho hakijawahi kutokea katika Historia ya nchi hii
 
  
 
Uzinduzi huwo umefanyika katika uwanja wa Jamhuri na kuhudhuliwa na viongozi wakuu wa serikali na kambi ya upinzani bungeni
 
 Katika uzinduzi huwo uliohudhuliwa na Rais wa Jamhiri ya muungano wa Tanzania DR: jakaya Mrisho Kikwete, Waziri mkuu Mh: Mizengo Pinda, Spika wa bunge la jamhuri ya Muungano Mama Anna Makinda, Mama yetu mpendwa Maria Nyerere, Rais wa Zanzibar Dr. Shein, 
 
 
Katika lisala yao wasanii hawo wamewataka watanzania kuujali, kuutukuza na kuusambaza uzalendo wa nchi yetu ikiwemo kudumisha muungano na kudumisha amani ya nchi yetu
 
 
Katika lisala yao wasanii hao pia wamemuomba rais jakaya kikwete Kuwasaidia katika kuhakikisha wanapata mafanikio makubwa na Mh: Rais amewaaidi hilo atalifanyia kazi kwakuwa lipo ndani ya uwezo wake.
 
 
 
 Siku ya leo imeacha Historia kwa wasanii wa Tanzaia Baada ya  Tamasha la Uzalendo na Uzinduzi waVideo Maalum ya ya Miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Uwanja wa Jamuhuri Dodoma. Ambalo lili hudhuliwa na Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na Kutoa ahadi ya Kusapoti na Kuinua kazi za wasanii wote katika Ngazi za Kimataifa.
- See more at: http://harakatizabongo.blogspot.com/2014/06/picha-wasanii-waliotumbuiza-katika.html#sthash.awVJcSwZ.d

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE