
Dayna Nyange
Watu mbalimbali wamejaribu kubadilika ki mavazi na kuwa na tofauti na muonekano wao wa awali kabla ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Miungoni mwa watu hao ni pamoja na wasanii maatrufu hasa wakike ambao katik siku za nyuma wamekuwa katika muonekano tofauti. Huyu ni Dayna nynge anayetamba na wimbo wake mpya wa I DO mabye mwezi huu ameonekana kuwa tofauti na miezi mingine.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment