July 31, 2014

 Story zilizozagaa mitandani na mitaani juu ya mahusiano ya kimapenzi yaliyopo baina ya mwanamuziki Dayna Nyange na mshiriki wa Big Brother 2013 Ammy Nando maarufu kama Nando, sasa zimewekwa hadarani
 Utata uwo unavunjika rasmi kesho ambapo kumbe picha zilizozagaa mitandaoni ilikuwa ni sehemu ya utengenezaji wa Video mpya ya mwana dada huyo  ya I Do inayotarajiwa kuachiwa rasmi siku ya kesho
  Katika Video ya wimbo huwo unaofanya vizuri sana kwa sasa ndani na nje ya Tanzania Nando na Dayna wameonekana kama ni wapenzi wa kufa na kuzikana.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE