
Follow @divaswildevents for Events In
Dar..Mwanza, Mtwara and Morogoro..Or Arusha na Tanga soon tutakufikia. I
am The President od Divas Wild Events and all we do is kuandaa events
with Entertainment toka kwa Artist wakubwa. Managers night coming
stay tuned and selfie Night inakuja pia. Number zetu za ofisi. You can
contact US 0713 894746 ..... Kiingilio chetu huwa ni 10,000 tu. So next
event tutawatangazia Soon tarehe. Bless you all and God is Good. Dealing
with Divas wild only...dis is My company and pia tunafanya Accessories
biz...@divasaccessories Online Store. Soom we will direct you to wapi
tutakuwa tunapatikana. Ofisi za Divas wild events ziko Mbezi beach Art
Gallery. Karibuni. Sadly but very true Wakati tunafanya Instagram Party
tulitapeliwa na Kijana anaitwa Denis Lucas maarufu kwa ufanyaji wa Red
Carpet. Nilimtumia pesa na hakufanya kazi yetu aliondoka na Pesa na
Mpaka dakika hii hakurudisha kiasi cha laki Moja. Kesi yake
tunaishughulikia sababu ilishafika sehemu husika. Na tayari atatiwa
mikononi soon. So kama wewe unahisi ni mtu Pro kwenye ufanyaji wa Red
Carpet...naajiri contact me na CV yako kwa mail ya Divas wild ambayo ni
Morales.gissele @yahoo.com . Mnakaribishwa. Attach na Pic za events
ulizofanya pia. Thanks ' from The President and The Bawse herself
DivaTheBawse from @divaswildevents
0 MAONI YAKO:
Post a Comment