July 05, 2014


20140705-103510-38110784.jpg
Baada ya kutolewa kwenye hatua ya 16 bora ya kombe la dunia mabingwa wa Afrika Nigeria wapo hatarini kukumbwa na balaa lingine.
Mabingwa hao wa Afrika huenda wakapigwa marufuku ya kushiriki mashindano yeyote ya soka baada ya mahakama nchini humo kutengua utawala wote ya shirikisho la soka nchini humo
Waziri wa michezo wa Nigeria Tammy Danagogo alimteua Lawrence Katiken kuwa msimamizi mkuu wa NFF.
Taarifa nchini humo zinasema kuwa matokeo duni ya timu hiyo hayakusaidia hali mbaya ya uhusiano na serikali ya nchi hiyo na shirikisho la soka.
Super Eagles iliambulia kichapo cha 2-0 mikononi mwa Ufaransa katika raundi ya pili ya kombe la dunia na hivyo kufungashwa virago.
Mahakama ya jimbo la Plateau ilitoa amri ya kupinga uongozi wa Aminu Maigari, na kamati yake nzima.
Kufuatia hatua hiyo Nigeria inaweza kuadhibiwa na FIFA ambayo inakataza mamlaka za kiserikali kuingilia mambo ya soka.

Related Posts:

  • Video: Diamond platnumz aamua sasa, kuja na Omarion   Mwanamuziki Diamond Platnumz, ameonekana akifanya wimbo wake mpya na mwanamuziki wa kimarekani Omarion. Picha zilizopo Instagram zinadhihirisha Kolabo hilo la kimataifa. Bofya Video hapa chini kutazama seheme… Read More
  • Group la Whatsapp lazinduliwa kwa mbwembwe Dar NA K-VIS BLOG/Khalfan Said WAANDISHI wa habari ambao ni wanachama wa kundi la Whatsapp lijulikanalo kama TASNIA HALISI wamezindua kundi hilo leo Oktoba 28, 2017 kwa sherehe kabambe ya kukata na shoka iliyohanikizwa… Read More
  • Aslay avuta ndinga mpya   Msanii wa muziki wa bongo fleva Aslay Isihaka ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Natamba' amefunguka na kushukuru uongozi wake mpya kwa kufanikisha yeye kuweza kupata … Read More
  • Zitto Kabwe afunguka baada ya kuachiwa Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT – Wazalendo baada ya kukamatwa na polisi na kuachiwa kwa dhamana amesema kuwa Rais alisema kuwa akamatwe na asingekamatwa angeshangaa: Tazama video hii Zitto Mh. akieleza &… Read More
  • Official Video : Qboy Msafi ft Mr blue - Kamoyo   Mwanamuziki aliyekuwa analiwakilsha kundi la W C B, Qboya Msafi, ameachia wimbo wake kama mwanamuziki wa kujitegemea akiwa na Mr. Blue. Wimbo unaitwa Kamoyo umefanywa na Producer Mr.T-Touch katika studio za Touch So… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE