July 02, 2014

Wimbo huu anautoa kama ‘zawadi’ kwa mashabiki wake kwa kumpokea vizuri na single yake iliyopita ‘Jichunge’, wakati akijiandaa na single yake ‘official’ itakayotoka October.

Wimbo huu uliwahi kusikia kwenye vituo vya Mwanza na kanda ya ziwa ila katika version tofauti na hii, lakini haukutoka official, hivyo tumeamua kuurekodi upya na kwa kiwango bora zaidi ili uweze kuwafikia mashabiki wote wapya na wa zamani


Song Credits:
Producers: Kidboy, Nusder & Lollipop

Song writer: Barakah Da Prince

Studio: Tetemesha (2014)


For Interviews: Barakah Da Prince: 0714 321086



Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE