Huu ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa vichwa viwili vinavyofanya poa sana katika anga ya muziki wa kizazi kipya. Naamini wengi wenu mlikuwa mkisubilia kwa hamu sana muungano wa watu hawa wawili. Hapa wanazungumzia kuhusu mziki unaofanywa nao kwa pande mbili tofauti
0 MAONI YAKO:
Post a Comment