August 31, 2014

Nyumbani park &samaki spot..Wanakuletea
NYAMA CHOMA FAMILY BONANZA Jumapili hii 31/8/2014
Kuanzia saa 11:00 asubuh....live band sembuche atalianzisha mapema asubuh..jioni ni disco kali..chini ya dj jimmy lover..guest dj john peter pantalakis..fast eddie...sweet coffee....ni oldz, old skoolz, flash back and many more...hakuna kiingilio wewe ni kuja tu kushuhudia na kujipatia huduma husika kwa sababu majiko yote ya nyama mjini yatahamia Nyumbani Park siku hiyo. Kutakuwa na zawadi ya pesa kwa mshindi wa kuchoma nyama kali, Supu ya pweza itahusika pia, lakini hayo yote yakiendelea huku ukipata kiburudisho cha Pepsi ...wote mnakaribishwa... Hii n i kwa udhamini wa PEPSI, NYUMBANI PARK $ SAMAKI SPORT, Unangoja nini sasa????????

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE