
Mwishoni mwa mwezi uliopita msanii anayewakilisha vyema taifa lake la Tanzania Diamond Platnumz alikuwa
anafanya show kubwa mjini Stuttgart,Ujerumani na show kushindikana
kufuatia vurugu kubwa katika ukumbi ambapo chanzo cha vurugu hizo ni
kutokana na Diamond kuchelewa kupanda jukwaa.
YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014... kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time
Stuttgart... lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu
mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events.ndipo
tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa
Stuttgart....hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo
safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale
kwa RedCarpet.... kiingilio ni BUREEEEEE!!!... tafadhariwambie na wenzio
wa nchi za karibu...#NORWAY #HOLLAND #SWITZLAND #BELGIUM #SWEEDEN na
kadharika!!!! Aliandika Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa
Facebook.
Kwa
kilichopangwa na waandaaji wa show hiyo ni kwamba show hiyo itafanyika
tena na mara hii show hiyo itakuwa ni bure kama fidia kwa mashabiki wa
burudani na mashabiki wa muziki wa Diamond Platnumz ambapo tarehe ya
kufanika kwa show hiyo ni tarehe 20 Septemba mwaka huu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment