September 08, 2014


 Baada ya kufanya poa na ngoma yake ya kwanza nianze na nani?? Mkali wa bongo fleva toka mkoani Morogoro Streval Galvas maarufu kama Stravel amekuja na ngoma hii mpya Inaitwa Bilingo
  Hapa kamshirikisha Bonface na mzigo umefanyika katika Studio za Storm Music Sound chini ya Producer B 5

Tenga mud awako hpa kuiskiliza na kudownload. pia Comment yako muhimu


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE