September 17, 2014

   Uyu mshkaji aliwaacha watu hoi paler alipokuwa aki Rap Kiluguru

Kuelekea siku ya Jumapili ndani ya uwanja wa Jamhuri Stadium siku maalun iliyotangazwa na kamati ya maandalizi ya Serengeti Fietsa 2014, Leo hii timu hiyo ilipata wasaha wa kutembelea wadau mbalimbali mtaani na kuzungumza nao mambo mbalimbali yanayopatikana  huko mkoani Morogoro
  Husna Abdul (Dahuu) toka Leo Tena ya Clouds fm, ndiye aliyeliongoza jahazi ili akiwa na mfalme wa Rhymes  Tanzania Afande Sele.  Tulitaka kujua ile desturi ya wafanya biashara wa Kiluguru eti ukikutana naye njiani hawezi kukuuzia bidhaa yote mpaka afike  Sokoni. Je kuna ukweli?
 Hapa mama kilaza alifunguka kuhusu habari hizo kwamba zamani ilikuwa hivyo hasa kutokana na imani kwamba ukiuza bidhaa njiani hutapata faida kubwa, kumbe kinyumechake,

  Dahuu hapa alikutana na mfanya biashara huyu wa viungo vya chakula, hapa alituonesha zao la abdalasini, bidhaa ambayo inasemekana hupatikana Morogoro peke yake
 Hapa tulikutana na wadau wa Fiesta wakaamua kupiga Picha ya pamoja, Afande Sele, Wilson Chigolo, Lilian Crispin na Husna Abdul Dahuu toka Clouds fm
Hapa ni Dahu na Frank Sanga wa Moro

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE