September 14
Hizi nibaadhi ya picha mtu wangu ambazo unaweza kushare na washkaji waone walichokifanya Tabora,Nuh na Shilole baadae walipanda wakaperfoam pamoja ilikua poa sana
Msanii
mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye
Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja na
Linah.
Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.…
Msanii
mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye
Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja na
Linah.
Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.
Msanii
wa Bongofleva,Kadja akiimba wimbo wake wa Maumivu niache mbele ya
maelfu ya wakazi wa Taborawaliofika kwenye tamasha la
Fiesta usiku wa kuamkia leo.
Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora ndani ya tamasha la Fiesta
Palikuwa hapatoshi usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora,ambapo tamasha la Fiesta lilirindima.
Wasanii chipukizi kutoka Tabora nao walionesha umahiri wao jukwaani
Sehemu ya umati mkubwa wa watu waliofika kulishuhudia tamasha la Fiesta lililofanyika usiku wa
kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora.
kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment