September 18, 2014

Waandaaji wa wa Big Brother Africa, Kampuni ya M-Net na Endemol SA, leo (September 18) wametangaza majina matatu ya washiriki wa shindano hilo wanaowakilisha Zimbwabwe, Kenya na Uganda.
Kutoka Uganda, Miss Uganda Stella Nantumbwe aka ‘Ellah’ ndiye wa kwanza kutajwa kuiwakilisha nchi hiyo. Kutoka Zimbwabwe ametajwa DJ wa kike wa Power Fm, Butterphly Phunk huku jina la tatu likiwa la Mkenya, Melvin Alusa.
M-Net na Endemol SA watakuwa wanataja majina ya washiriki watatu kila siku hadi shindano hilo lilipewa jina la ‘Hot Shots’ litakapoanza.
DJ Butterphly (Zimbawe)
 



0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE