October 01, 2014


  Kwa sasa ulizungumzia wanamuziki wanaofanya poa sana Afrika Mashariki na kati, basi toka nchini Rwanda hutasita kumtaja mwana dada Butera Knowless. Huyu ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya anayefanya poa sana nchini Rwanda. Hii ni moja ya ngoma yake mpya inayoitwa Tulia iliyofanyika chini ya Kina Music

  Bonyeza Play kuskiliza au Dawnload hapa



0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE