Mkali wa muziki wa Bongo Freva toka nchini Tanzania Diamond Platnumz, anazidi kuchanja mbuga za kimataifa baada ya safari hii kushiriki katika tuzo nyingine kubwa nchini Nigeria.
Voting for the nomineesof
the tooXclusive awards 2014 is officially on!!!Get your fingers busy
and cast your votes for your favorite nominees in their respective
categories for free! Simply scroll to each category and click the button
adjacent to the nominee’s image or video to vote
KAULI YA WEMA KUFUATIA KUDHALILISHWA KWA PICHA YA MAMA YAKE
Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja
inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema
na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni Huyu
Dengue ni…Read More
HATIMAYE MCHUNGAJI GWAJIMA AJITOSA SAKATA LA MBASHA
Wakati mume wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha
akiachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi ya kudaiwa kumbaka shemejiye,
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam,…Read More
MATUMIZI YA WI -FI NI HATARI SANA, SOMA HAPA
“Pale mtumia mtandao
anapotumia Wi-Fi ilikupata intaneti anajiweka katika hali tativu
kiusalama mtandao zaidi ya Yule anae tumia mtandao unaotumia nyaya za
intaneti – Kwa lugha ya kingereza, wireless LAN i…Read More
PICHA/ UTENGENEZAJI VIDEO MPYA YA MADEE
Hamad Ali a.k.a Madee pia unaweza kumuita Rais wa Manzese, anatarajia
kuachia ngoma yake nyingine inayoitwa Paulina akiwa na Raymond wa
Tiptop.
Siku mbili zilizopita Madee alikua Morogoro akishuti video ya w…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment