January 29, 2015

 
Nyumba ya Vipaji Tanzania(THT)kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake siku ya Jumamosi wiki hii pande za Escape One,Mikocheni jijini Dar
 
Wasani wa muziki K Star, Baraka Da Prince wakiongozwa na Lameck Ditto kutoka THT
 Siku hiyo ya maadhimisho kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii waliopitia THT pamoja na wasanii wengine wakiwemo Linah Sanga,Amin,Recho,Mwasiti,Barnaba,n.k.
 

 
Nyumba hiyo ya vipaji imeamua kuachana na kuwatoa wasanii wachanga kwa hiyo hao wanaomaliza ndiyo watakua wa mwisho,badala yake wameanzisha chuo cha ubunifu wa mavazi ambapo wabunifu wachanga ambao watasafirishwa kwenda china kwa ajili ya kujifunza ubunifu wa mavazi

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE