January 28, 2015

 
 Kutoka Kisutu Dar es Salaam.
Hatimaye mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahimu Lipumba amefikishwa katika mahakama ya kisutu kwa kosa la jinai mbele ya hakimu Isaya na hivyo amepata Dhamana muda.PROF. Lipumba alikamatw ajana wakati wakiandamana kuhadhimisha kumbukumbu ya miaka 14 ya mauaji ya Zanzibr. Lakini mpaka sasa haijajulikana kesi aliyoshitakiwa inahusiana na nini.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE