Waziri mkuu wa zamani mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama
Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mzee
Lazaro ole Ngoilenya Laizer aliyefariki juzi na kuzikwa leo Alhamis
kijijini kwake Ngarash Monduli.Mzee Ole Ngoilenya ambaye amefariki akiwa
na umri wa miaka 120 alikuwa muasisi na kiongozi wa kwanza wa Chama Cha
TAA na baadaye TANU wilayani Monduli wakati huo ikijulikana kama Maasai
District.Pia ndiye alikuwa chachu kwa Mh Lowassa na wanasiasa wengine
wa Monduli kuingia katika siasa. Alitoa wake 9 na kufanikiwa kupata
watoto 53
Yanga wafunguka sababu ya kuachwa na ndege
Baadhi ya wachezaji wa Yanga
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ambao juzi
walifungwa bao 4-0 katika mechi ya marudiano baina ya yanga na AC Alg…Read More
Nape Nnauye: Nikiyakumbuka haya, naonekana mkorofi.
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ameamka na tweet hii katika Ac yake ya Twitter, ambayo kimaelezo ndiyo sababu inayomfanya aonekane mbaya
Nape Moses NnauyeVerified account @Nnauye_Nape
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment