January 28, 2015

 
Wafanya biashara mkoani Morogoro leo hii, wamegoma kufungua maduka na kuendelea na shughuli hiyo kutokana na mgomo unaoendelea.
  
Tukio hilo linaloendelea sasa ni kutokana na taarifa ya kukamatwa kwa mwenyekiti wa wafanya biashara tanzania hapo jana. Wakizungumza na ubalozini.blogspot.com baadhi ya wafanya biashara wamesema hawatakubali n ahawataendelea na shughuli hizo mpaka pale kiongozi wao huyo atakapoachiwa huru na kuendelea na shughuli zake

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE